Book Launch - In Pursuit of the Meaning of Life
Muda:
Mahali: WCF House, Morocco Kinondoni, New Bagamoyo Road, 14107, Kinondoni, DAR ES SALAAM, Tanzania
Mratibu: Private Profile
Mawasiliano: timjaykay@yahoo.com 255767990110
Wengine hutafuta maana katika mambo ya KIROHO (dini), wengine katika KAZI (taaluma, biashara, uongozi, ajira), wengine katika MAHUSIANO (ndoa au urafiki).
Kwenye kitabu hiki nimeangalia kwa upana sana maana ya maisha na kwa nini wengi hatufikii ule utoshelevu wa kile tunakimbizana nacho kama maana ya maisha.
Karibu kwenye uzinduzi wa kitabu upate nakala yako na kusikia zaidi juu ya somo hili.
Utaingia kwa TZS 10,000/- Tu!
Organizer: Private Profile
Category: Conference
Contact: timjaykay@yahoo.com · 255767990110
Tickets from TZS 9,000
Tiketi
-
Entry Fee - Kiingilio - Kikundi cha Watu Watano TZS 9,000
Nunua kwa kikundi cha watu watano uokoe elfu tano. Tiketi yako si kiingilio tu, bali ni uwekezaji katika ukuaji binafsi, kugundua maana na kusudi la maisha, na safari ya mafanikio yenye maana. Jiunge nasi upate msukumo wa kubadili mtazamo na maisha yako.
-
Entry Fee - Kiingilio - Ticket Yako TZS 10,000
Tiketi yako si kiingilio tu, ni uwekezaji katika ukuaji binafsi, kugundua maana na kusudi la maisha, na safari ya mafanikio yenye maana. Jiunge nasi upate msukumo wa kubadili mtazamo na maisha yako.
-
Entry Fee - Kiingilio - Kikundi cha Watu Kumi TZS 9,000
Nunua Ticket Kumi uokoe elfu kumi, 10,000. Tiketi yako si kiingilio tu, bali ni uwekezaji katika ukuaji binafsi, kugundua kusudi la maisha, na safari ya mafanikio yenye maana. Jiunge nasi upate msukumo wa kubadili mtazamo na maisha yako.