← Events

Book Launch - In Pursuit of the Meaning of Life

Book Launch - In Pursuit of the Meaning of Life

When:

Where: WCF House, Morocco Kinondoni, New Bagamoyo Road, 14107, Kinondoni, DAR ES SALAAM, Tanzania

Mratibu: Private Profile

Mawasiliano: timjaykay@yahoo.com 255767990110

Nimejiuliza sana nini maana ya maisha, hasa pale unapofiwa na ndugu au rafiki wa karibu ambaye ulidhani mtasonga wote maishani.

Wengine hutafuta maana katika mambo ya KIROHO (dini), wengine katika KAZI (taaluma, biashara, uongozi, ajira), wengine katika MAHUSIANO (ndoa au urafiki).

Kwenye kitabu hiki nimeangalia kwa upana sana maana ya maisha na kwa nini wengi hatufikii ule utoshelevu wa kile tunakimbizana nacho kama maana ya maisha.

Karibu kwenye uzinduzi wa kitabu upate nakala yako na kusikia zaidi juu ya somo hili.

Utaingia kwa TZS 10,000/- Tu!

Organizer: Private Profile

Category: Conference

Contact: timjaykay@yahoo.com · 255767990110

Tickets from TZS 9,000

Tiketi

  • Entry Fee - Kiingilio - Kikundi cha Watu Watano TZS 9,000

    Nunua kwa kikundi cha watu watano uokoe elfu tano. Tiketi yako si kiingilio tu, bali ni uwekezaji katika ukuaji binafsi, kugundua maana na kusudi la maisha, na safari ya mafanikio yenye maana. Jiunge nasi upate msukumo wa kubadili mtazamo na maisha yako.

  • Entry Fee - Kiingilio - Ticket Yako TZS 10,000

    Tiketi yako si kiingilio tu, ni uwekezaji katika ukuaji binafsi, kugundua maana na kusudi la maisha, na safari ya mafanikio yenye maana. Jiunge nasi upate msukumo wa kubadili mtazamo na maisha yako.

  • Entry Fee - Kiingilio - Kikundi cha Watu Kumi TZS 9,000

    Nunua Ticket Kumi uokoe elfu kumi, 10,000. Tiketi yako si kiingilio tu, bali ni uwekezaji katika ukuaji binafsi, kugundua kusudi la maisha, na safari ya mafanikio yenye maana. Jiunge nasi upate msukumo wa kubadili mtazamo na maisha yako.

tukiio tickets event private-profile in-person conference