He said TADB remains committed to supporting the agricultural sector by expanding access to affordable financing for farmers, with the aim of increasing productivity, promoting commercial agriculture and enhancing the sector’s contribution to economic growth.
Amesema benki hiyo imejipanga kuongeza mchango wake katika kukuza uzalishaji wa kibiashara kwa kuhakikisha wakulima, wafugaji na wavuvi wanapata mitaji inayowawezesha kuongeza tija, kutumia teknolojia za kisasa na kuwekeza katika shughuli zenye thamani kubwa zaidi.