Indexed topics
POLITICS Jul 6, 2026 5 excerpts ยท 5 articles ยท 2 outlets

Rashid Jumbe's Political Shift from Chadema to CCM Influenced by Government Development Projects

Outlets: habarileo.co.tz, michuzi.co.tz

Supporting excerpts & sources

Jumbe, ambaye kwa muda mrefu alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa Chadema mkoani Tanga, amesema uamuzi wake umetokana na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na juhudi za Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha amani, umoja na ustawi wa wananchi.
michuzi.co.tz โ†—

Kilichonishawishi zaidi ni kazi kubwa inayofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea Watanzania maendeleo na kuhakikisha amani ya nchi inalindwa.
michuzi.co.tz โ†—
Jumbe, ambaye kwa muda mrefu alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa Chadema mkoani Tanga, amesema uamuzi wake umetokana na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na juhudi za Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha amani, umoja na ustawi wa wananchi.
michuzi.co.tz โ†—
Akizungumza mbele ya wanachama na umma wakati wa hafla hiyo, Rashid Jumbe alieleza kuwa uamuzi wake wa kuhamia CCM umetokana na kuridhishwa kwake na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanywa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan.
habarileo.co.tz โ†—
Ask anything about this topic โ€” timeline, impact, actors, or Tanzania connections.