Rashid Jumbe's Political Shift from Chadema to CCM Influenced by Government Development Projects
Vyanzo: habarileo.co.tz, michuzi.co.tz
Maelezo na vyanzo
Jumbe, ambaye kwa muda mrefu alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa Chadema mkoani Tanga, amesema uamuzi wake umetokana na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na juhudi za Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha amani, umoja na ustawi wa wananchi.
michuzi.co.tz โJumbe, ambaye kwa muda mrefu alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa Chadema mkoani Tanga, amesema uamuzi wake umetokana na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na juhudi za Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha amani, umoja na ustawi wa wananchi.
michuzi.co.tz โKilichonishawishi zaidi ni kazi kubwa inayofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea Watanzania maendeleo na kuhakikisha amani ya nchi inalindwa.
michuzi.co.tz โJumbe, ambaye kwa muda mrefu alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa Chadema mkoani Tanga, amesema uamuzi wake umetokana na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na juhudi za Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha amani, umoja na ustawi wa wananchi.
michuzi.co.tz โAkizungumza mbele ya wanachama na umma wakati wa hafla hiyo, Rashid Jumbe alieleza kuwa uamuzi wake wa kuhamia CCM umetokana na kuridhishwa kwake na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanywa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan.
habarileo.co.tz โ