Kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita, kampuni ya nishati ya Puma Energy Tanzania imeendelea kuweka rekodi ya kipekee katika ulipaji wa kodi kwa kuchangia zaidi ya Sh trilioni 1.4 kupitia kodi na tozo mbalimbali kwa Serikali.
Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, Puma Energy Tanzania imechangia zaidi ya Sh trilioni 1.4 kupitia kodi na tozo mbalimbali kwa Serikali, na pia imetambuliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na rekodi yake bora ya ulipaji wa kodi na mchango wake katika kuongeza mapato ya Serikali.