Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kutafuta na kufungua masoko ya ndani na nje ya nchi kwa ajili ya mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi, hatua inayolenga kuwawezesha wazalishaji kupata masoko ya uhakika na kuongeza tija katika sekta za uzalishaji.
Rais Samia amesema Serikali itaendelea kutafuta na kufungua masoko ya ndani na nje ya nchi kwa ajili ya mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi, hatua inayolenga kuwawezesha wazalishaji kupata masoko ya uhakika na kuongeza tija katika sekta za uzalishaji.