Kessy amesema kuwa PPAA inatoa huduma ya Mkutano kwa njia ya Mtandao “Video Conference” ambapo hutumika kusikiliza mashauri ya wazabuni walioshindwa kufika moja kwa moja katika Ofisi za PPAA kwa ajili ya kusikiliza mashauri yalilowasilishwa mbele yake.
PPAA inatoa huduma ya Mkutano kwa njia ya Mtandao “Video Conference” ambapo hutumika kusikiliza mashauri ya wazabuni walioshindwa kufika katika Ofisi za Mamlaka ya Rufani.
Kwa sasa PPAA inatoa huduma ya Mkutano kwa njia ya Mtandao 'Video Conference' ambapo hutumika kusikiliza mashauri ya wazabuni walioshindwa kufika katika Ofisi za Mamlaka ya Rufani.