Implementation of Warehouse Receipt System in Livestock Sector
Outlets: dailynews.co.tz, ippmedia.co.tz, michuzi.co.tz, mzalendo.co.tz
Supporting excerpts & sources
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imesema matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika sekta ya mifugo yataimarisha masoko, kuongeza ushindani wa bei na kuwainua wafugaji kiuchumi kupitia upatikanaji wa huduma za kifedha.
ippmedia.co.tz โWe are in the final stages of establishing the regulatory framework required to operationalize this model.
dailynews.co.tz โHatua inayofuata ni kukamilisha miongozo ya utekelezaji kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo ili kuruhusu rasmi mifugo kuingizwa kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani.
michuzi.co.tz โUshirikiano huo unalenga kuongeza upatikanaji wa mitaji kwa wafugaji, kuimarisha mfumo rasmi wa biashara ya mifugo na kuwezesha upatikanaji wa masoko yenye ushindani, hatua inayotarajiwa kuongeza tija na mapato katika sekta ya mifugo.
michuzi.co.tz โWAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa katika masoko na biashara shindani ya mifugo.
mzalendo.co.tz โWAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa katika masoko na biashara shindani ya mifugo.
michuzi.co.tz โWAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa katika masoko na biashara shindani ya mifugo.
michuzi.co.tz โ