Mada zilizoorodheshwa
AGRICULTURE Jun 25, 2026 7 nukuu ยท 7 makala ยท 4 vyanzo

Implementation of Warehouse Receipt System in Livestock Sector

Vyanzo: dailynews.co.tz, ippmedia.co.tz, michuzi.co.tz, mzalendo.co.tz

Maelezo na vyanzo

Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imesema matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika sekta ya mifugo yataimarisha masoko, kuongeza ushindani wa bei na kuwainua wafugaji kiuchumi kupitia upatikanaji wa huduma za kifedha.
ippmedia.co.tz โ†—
We are in the final stages of establishing the regulatory framework required to operationalize this model.
dailynews.co.tz โ†—
Hatua inayofuata ni kukamilisha miongozo ya utekelezaji kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo ili kuruhusu rasmi mifugo kuingizwa kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani.
michuzi.co.tz โ†—
Ushirikiano huo unalenga kuongeza upatikanaji wa mitaji kwa wafugaji, kuimarisha mfumo rasmi wa biashara ya mifugo na kuwezesha upatikanaji wa masoko yenye ushindani, hatua inayotarajiwa kuongeza tija na mapato katika sekta ya mifugo.
michuzi.co.tz โ†—
WAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa katika masoko na biashara shindani ya mifugo.
mzalendo.co.tz โ†—

Uliza chochote kuhusu mada hii โ€” mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.