Amesema serikali inatamani kuona kila mtumishi wa umma anakuwa salama dhidi ya ajali na magonjwa yatokanayo na kazi ili aweze kutoa mchango wake kikamilifu katika kutekeleza majukumu ya Serikali.