Tume hiyo imepewa muda wa miezi mitano kukamilisha uchunguzi wake na kuwasilisha mapendekezo yatakayosaidia kufahamu chanzo cha matukio hayo pamoja na wahusika wake.
Tume hiyo imepewa siku 150 kukamilisha uchunguzi wake na kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa majukumu yake, ikitarajiwa kubaini wahusika wa ghasia na ukiukaji wa sheria uliotokea wakati na baada ya uchaguzi huo.