Mkandarasi amekamilisha kwa mafanikio awamu ya kwanza ya kazi za uvutaji wa nyaya katika eneo la Mkambarani, Mkoa wa Morogoro, ikiwa ni sehemu ya hatua za mwisho za utekelezaji wa Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema Mkandarasi amekamilisha kwa mafanikio awamu ya kwanza ya kazi za uvutaji wa nyaya katika eneo la Mkambarani, Mkoa wa Morogoro, ikiwa ni sehemu ya hatua za mwisho za utekelezaji wa Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma.
