Hon. Senyamule has commended the Embassy of Ireland and its development partners for their continued collaboration with the Government in implementing various development projects aimed at improving the livelihoods of people in Dodoma Region.
Mhe. Senyamule ameupongeza Ubalozi wa Ireland pamoja na wadau wake kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayolenga kuboresha maisha ya wananchi katika Mkoa wa Dodoma.
