Bingwa mtetezi wa ligi kuu ya Uingereza, Arsenal naye siku ya leo atakuwa akijima nguvu dhidi ya Real Betis kutoka kule Hispania ambayo ni timu ya daraja la kati.
Huku Betis wao wanahitaji kujaribu wachezaji wapya na kujiweka imara tayari kwaajili ya msimu mpya huku nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet wakiwapewa Arsenal kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanao.