Mada zilizoorodheshwa
KILIMO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Zawadi Agrovety Provides Training on Vegetable Farming for Youth

Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Zawadi Agrovety Provides Training on Vegetable Farming… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao

Muhtasari

  • Mwakilishi kutoka kampuni ya Zawadi Agrovety ,Hawa Abdallah akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma wanazotoa katika maonesho ya nanenane Njiro.
  • Akizungumza katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Njiro mkoani Arusha, Mwakilishi wa kampuni ya Zawadi Agrovety, Hawa Abdallah, amesema kampuni hiyo inaendelea kutoa elimu kwa wakulima na vijana.
  • Amesema Zawadi Agrovety inasambaza mbegu za aina mbalimbali za mboga mboga, ikiwemo mchicha, mnavu, lettuce, Chinese cabbage, tikiti maji na matango, ambazo zimeonyesha matokeo mazuri kwa wakulima wanaozitumia katika.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Zawadi Agrovety Provides Training on Vegetable Farming…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.