Zawadi Agrovety Provides Training on Vegetable Farming for Youth
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Zawadi Agrovety Provides Training on Vegetable Farming… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Mwakilishi kutoka kampuni ya Zawadi Agrovety ,Hawa Abdallah akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma wanazotoa katika maonesho ya nanenane Njiro.
- Akizungumza katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Njiro mkoani Arusha, Mwakilishi wa kampuni ya Zawadi Agrovety, Hawa Abdallah, amesema kampuni hiyo inaendelea kutoa elimu kwa wakulima na vijana.
- Amesema Zawadi Agrovety inasambaza mbegu za aina mbalimbali za mboga mboga, ikiwemo mchicha, mnavu, lettuce, Chinese cabbage, tikiti maji na matango, ambazo zimeonyesha matokeo mazuri kwa wakulima wanaozitumia katika.