Uchunguzi wa Awali Waanza Kuhusu Chanzo cha Ajali ya Mabasi
Habari mpya za transport Tanzania · maelezo ya Uchunguzi wa Awali Waanza Kuhusu Chanzo cha Ajali ya Ma… · imesasishwa 2 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- WATU wanane wamepoteza maisha na wengine 66 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Ibihwa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma.
- Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Rehema Jeremia, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema ilihusisha basi la Isamilo lenye namba za usajili T 428 EXP lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam.