Serbia inakuwa kitovu cha historia mpya ya michezo baada ya Meridianbet kudhamini UFC Fight Night Belgrade mnamo tarehe 01 mwezi wa 08.
Meridianbet ndiyo injini ya msisimko huu. Kampuni hii ya ubashiri, ambayo sasa inatimiza miaka 25 ya mafanikio, imeamua kusherehekea kwa kudhamini UFC Fight Night Belgrade mnamo tarehe 01 mwezi wa 08.
Baada ya miaka 25 ya utendaji wake, sasa kampuni ya ubashiri ya Meridianbet imefanya jambo kubwa Zaidi la kudhamini usiku wa mapambano wa UFC Fight Night Belgrade, tukio linalotarajiwa kufanyika nchini Serbia Usiku wa tarehe 1 Agosti 2026 kwenye ukumbi wa Belgrade Arena.