Proposal for Permanent Hiring of George Lwandamina as Chipolopolo Coach
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Proposal for Permanent Hiring of George Lwandamina as C… · imesasishwa 10 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Haisaidii kuona Lwandamina akifanya kazi timu ya Taifa na wakati huo huo akiwa na klabu,” amesema. Enzi zake uwanjani, Kampamba aliitumikia Chipolopolo katika fainali za AFCON za mwaka 2002 zilizofanyika nchini Mali.
- Kampamba amekitaka Chama cha Soka cha Zambia (FAZ) kumpa ajira ya kudumu Lwandamina kuelekea mechi za kuwania tiketi ya fainali zijazo za AFCON za hapo mwakani.Zambia itaanza kusaka tiketi ya AFCON 2027 kwa kuivaa.
- Kwa upande wake, Lwandamina aliwahi kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kuanzia mwaka 2015 hadi 2016.
- HARARE, Zimbabwe KIUNGO wa zamani wa timu ya soka ya Taifa ya Zambia ‘Chipolopolo’, Gift Kampamba, anaamini George Lwandamina anastahili kuajiriwa moja kwa moja kukinoa kikosi hicho. Lwandamina aliyewahi kufanya kazi.