Praise for Integrated Farming System Implementation in Kibaha District
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Praise for Integrated Farming System Implementation in… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Nchemba pia alivutiwa na ng’ombe wa kisasa aina ya Sahiwal mwenye uzito wa takribani kilogramu 1,050, ambaye ni miongoni mwa vivutio vikubwa katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.
- Mwigulu Lameck Nchemba, amepongeza ubunifu wa mfumo wa Kilimo Mseto (Integrated Farming) unaotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha baada ya kutembelea banda la halmashauri hiyo katika Maonesho ya Wakulima.