New Transport Regulation for Long-Distance Buses to Use Magufuli Terminal in Dar es Salaam
Habari mpya za transport Tanzania · maelezo ya New Transport Regulation for Long-Distance Buses to Use… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ambapo amewataka wamiliki na waendeshaji wa kampuni za mabasi kuanza maandalizi ya utekelezaji wa utaratibu huo kabla ya Agosti 17, 2026.
- Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali imechukua hatua mpya za kupunguza msongamano wa magari katikati ya Jiji la Dar es Salaam kwa kuelekeza mabasi makubwa ya masafa marefu kutumia Stendi ya Magufuli kama kituo.