National Budget 2026/27: Parliamentary Committee Passes Ministry of Education Estimates
Vyanzo: dailynews.co.tz, globalpublishers.co.tz, mwananchi.co.tz, mzalendo.co.tz
Maelezo na vyanzo
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepitisha randama ya mpango na makadirio ya bajeti ya matumizi ya kawaida pamoja na mpango wa maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
mzalendo.co.tz โWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amewashukuru wajumbe wa Kamati hiyo kwa kupokea na kupitisha randama ya bajeti ya Wizara na ameahidi kuwa wizara itaendelea kuboresha mifumo na mazingira ya utoaji elimu.
globalpublishers.co.tz โMhe. Prof. Shemdoe amewasilisha randama hiyo yenye mafungu 37 kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye anatarajia kusoma rasmi makadirio hayo leo Aprili, 01,2026 katika kikao cha pili cha mkutano wa tatu wa Bunge la Bajeti, ambapo Wabunge watapata fursa ya kujadili mipango na matumizi ya fedha ya ofisi hiyo.
globalpublishers.co.tz โWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, leo amewasilisha rasmi Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27 katika kikao cha Bunge kilichofanyika jijini Dodoma.
mwananchi.co.tz โWaziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ameliomba Bunge kumuidhinishia Sh12.5 trilioni kwa mwaka 2026/27 huku akitoa maelekezo 11 likiwemo la kuanza kwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050.
dailynews.co.tz โDk Mwigulu ameliomba Bunge kumuidhinishia Sh12.5 trilioni kwa mwaka 2026/27 huku akitoa maelekezo 11 likiwemo la kuanza kwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050.
Dk Mwigulu amewataka makandarasi wote wanaotekeleza miradi ya Serikali kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa mikataba waliyoingia ikiwa ni pamoja na kuwalipa watoa huduma walioshiriki kwenye utekelezaji wa mradi husika.
Wakuu wa mikoa, ndani ya miezi sita baada ya kuanza utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2026/27 kuhakikishe shule zote katika halmashauri zina matundu ya vyoo.
THE Office of the Prime Minister and its institutions have requested Parliament to approve a total of 12.5tri/- for the 2026/2027 financial year.
According to the PM, the proposed funds are aimed at financing government operations and development programmes.
Elaborating, the Premier told lawmakers that out of the total budget, 8.7tri/- are for recurrent expenditure, while 3.7tri/- will go towards development spending.
