Launch of Nuru ya Elimu Project by Latricia Sawe
Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Launch of Nuru ya Elimu Project by Latricia Sawe · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Miss World Tanzania 2026, Latricia Ian Sawe, ameagwa rasmi leo kuelekea nchini Vietnam kuiwakilisha Tanzania katika Tamasha la 73 la Miss World litakalofanyika kuanzia Agosti 9 hadi.
- Latricia anakuwa mwakilishi wa 30 wa Tanzania kushiriki katika mashindano ya Miss World tangu nchi ilipoanza kushiriki katika jukwaa hilo la kimataifa, hatua inayodhihirisha kurejea kwa Tanzania katika mashindano hayo.
- Nitajitahidi kuiwakilisha nchi yangu kwa heshima, uhalisia na dhamira ya kuleta mabadiliko kupitia mradi wa Nuru ya Elimu,” amesema Latricia.
- Amesema ataitangaza Tanzania kwa heshima kupitia utamaduni wake, vivutio vya utalii na mradi wake wa Nuru ya Elimu unaotekelezwa chini ya programu ya kimataifa ya Beauty With a Purpose, unaolenga kuleta mabadiliko.
- Kwa upande mwingine, waandaaji wamezipongeza taasisi zinazoshirikiana katika mradi wa Nuru ya Elimu, zikiwemo Hospitali ya Taifa Muhimbili, Doris Mollel Foundation, Enable Youth Foundation na Mustafa Hassanali.