Mada zilizoorodheshwa
ELIMU 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Launch of Nuru ya Elimu Project by Latricia Sawe

Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Launch of Nuru ya Elimu Project by Latricia Sawe · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Miss World Tanzania 2026, Latricia Ian Sawe, ameagwa rasmi leo kuelekea nchini Vietnam kuiwakilisha Tanzania katika Tamasha la 73 la Miss World litakalofanyika kuanzia Agosti 9 hadi.
  • Latricia anakuwa mwakilishi wa 30 wa Tanzania kushiriki katika mashindano ya Miss World tangu nchi ilipoanza kushiriki katika jukwaa hilo la kimataifa, hatua inayodhihirisha kurejea kwa Tanzania katika mashindano hayo.
  • Nitajitahidi kuiwakilisha nchi yangu kwa heshima, uhalisia na dhamira ya kuleta mabadiliko kupitia mradi wa Nuru ya Elimu,” amesema Latricia.
  • Amesema ataitangaza Tanzania kwa heshima kupitia utamaduni wake, vivutio vya utalii na mradi wake wa Nuru ya Elimu unaotekelezwa chini ya programu ya kimataifa ya Beauty With a Purpose, unaolenga kuleta mabadiliko.
  • Kwa upande mwingine, waandaaji wamezipongeza taasisi zinazoshirikiana katika mradi wa Nuru ya Elimu, zikiwemo Hospitali ya Taifa Muhimbili, Doris Mollel Foundation, Enable Youth Foundation na Mustafa Hassanali.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Launch of Nuru ya Elimu Project by Latricia Sawe

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.