Kilimo cha Mboga Mboga kwa Umwagiliaji Kijiji cha Makulu
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Kilimo cha Mboga Mboga kwa Umwagiliaji Kijiji cha Makulu · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Mbali na mradi wa maji, Taasisi ya Igambilo imeanzisha kilimo cha mboga mboga kwa kutumia umwagiliaji kutoka kwenye kisima hicho, ambapo wananchi wamepewa mafunzo ya kilimo bora na kuanza kuzalisha mazao kwa matumizi ya.
- DODOMA: Mkurugenzi wa Taasisi ya Igambilo, Gerald Ntyama, amesema taasisi hiyo imeendelea kuboresha maisha ya wananchi wa Kijiji cha Makulu, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kupitia utekelezaji wa miradi ya maji safi.
- Amewashukuru wananchi wa Makulu kwa ushirikiano wao tangu kuanza kwa mradi huo, akisema mafanikio yaliyopatikana yametokana na mshikamano kati ya wananchi, viongozi wa kijiji, Korea Hope Foundation na Taasisi ya.