Nchi za Afrika zimetakiwa kuongeza matumizi ya mitaji ya ndani, kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kukuza masoko ya fedha ili kuziba pengo la ufadhili wa miundombinu na kuchochea ukuaji wa uchumi wa muda mrefu.
Afrika inapaswa kutumia zaidi mitaji yake ya ndani, kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kukuza masoko ya fedha ya ndani ili kuziba pengo la ufadhili wa miundombinu na kuchochea ukuaji wa uchumi wa muda mrefu, Benki ya Stanbic Tanzania imesema.