Mada zilizoorodheshwa
AFYA 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Increase in Maternal Mortality Rates in Cuba

Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Increase in Maternal Mortality Rates in Cuba · masasisho 2024 · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma

Muhtasari

  • Miezi sita iliyopita, yaani Januari 29, 2026, Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuzuia meli za mafuta kuingia Cuba.
  • Pia, wakati Trump anaingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2017, Cuba ilikuwa na wastani wa vifo vinne katika kila watoto 1,000 wanaozaliwa.
  • Kwa miaka zaidi ya 60, Cuba imekuwa ‘ikiogelea’ kwenye machungu ya vikwazo vya Marekani lakini hali imekuwa mbaya zaidi tangu Rais Trump alipoingia madarakani, kuanzia mwaka 2017, kisha muhula wake wa pili mwaka 2025.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Increase in Maternal Mortality Rates in Cuba

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.