Matumizi ya gesi kwenye magari yanaendelea kuongezeka kutokana na gharama nafuu za uendeshaji na jitihada za kupunguza matumizi ya mafuta ya petroli na dizeli.