Mkufunzi kutoka VETA Pwani alisema mafunzo hayo yatasaidia jamii kuondokana na matumizi ya nishati chafu ambayo yana madhara kwa afya ya binadamu na mazingira.