Hope for Peace in Gaza Following Trump's Statement on Hamas Ceasefire
Habari mpya za siasa Tanzania · maelezo ya Hope for Peace in Gaza Following Trump's Statement on H… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za siasa · serikali · sera
Muhtasari
- Oktoba, 2025, Israel na Hamas wanaojitanabaisha kulinda masilahi ya Palestina katika Ukanda wa Gaza walikubaliana kusitisha mapigano ili kuruhusu mazungumzo na huduma za kibinadamu kuwafikia wananchi wa Gaza.
- Hivyo, kwa wakazi wa Gaza walio wengi, si Israel wala Hamas inayopaswa kuaminika kwa asilimia 100 kwani pande zote mbili hazioneshi utayari wa kurejesha amani katika eneo hilo.
- Tangu hapo, Israel imeripotiwa kuua Wapalestina zaidi ya 1,200, pia ikijiongezea maeneo ya kutawala katika Ukanda wa Gaza.
- JERUSALEM, Palestina KAULI ya Rais Donald Trump kwamba kundi la Hamas limekubali kuweka silaha chini limeibua matumaini kwa wananchi wa Palestina kuanza kuishi maisha ya amani katika Ukanda wa Gaza.