Farkwa Residents Anticipate Economic Opportunities from Dam Project
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Farkwa Residents Anticipate Economic Opportunities from… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Matukio tofauti tofauti katik picha,Ujenzi wa bwawa la Farkwa utatekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa gharama ya Shilingi bilioni 163.43 hadi kukamilika kwake.Na Mwandishi.
- Tayari Serikali imelipa fidia ya Shilingi bilioni 8.5 kwa wananchi wa vijiji vya Mombose na Bubutole waliopisha utekelezaji wa mradi huo.Mkazi wa Farkwa, Bi.