EWURA imewataka wafanyabiashara wote wa mafuta kuzingatia bei kikomo zilizotangazwa na imeonya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yeyote atakayekiuka maelekezo hayo.
Ewura imewataka wafanyabiashara wote wa mafuta kuzingatia bei kikomo zilizotangazwa na kusisitiza kuwa itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya mfanyabiashara yeyote atakayekiuka agizo hilo.
Kufuatia tangazo hilo, wafanyabiashara wa bidhaa za mafuta kwa rejareja na jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zinazooneshwa katika Jedwali Na. 3, huku ikionya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara yeyote atakayekiuka agizo hilo.