Mada zilizoorodheshwa
KILIMO 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Corteva Showcases Advanced Maize Seed Technology at Nanenane Exhibition in Arusha

Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Corteva Showcases Advanced Maize Seed Technology at Nan… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao

Muhtasari

  • Lengo ni kuwawezesha wakulima kutumia mbinu zinazowasaidia kupata mavuno mengi na yenye ubora.” Amesema kuwa,kwa maeneo ya ukanda wa chini, Corteva inatoa mbegu aina ya Pioneer P2848W, ambayo hukomaa ndani ya siku 80.
  • Kwa ukanda wa kati, Corteva inatoa mbegu aina ya PAN 53 ambayo imejipatia sifa kwa kutoa mahindi matamu yanayofaa hata kwa kuchoma ambapo mbegu hiyo ina uwezo wa kuzalisha wastani wa magunia 35 hadi 40 kwa ekari na ina.
  • KAMPUNI YA CORTEVA YAONESHA TEKNOLOJIA YA MBEGU BORA ZA MAHINDI KWENYE MAONESHO YA NANENANE ARUSHA.
  • Fikiri ameongeza kuwa , Kampuni ya Corteva imejipanga kuhakikisha wakulima wote watakaotembelea banda lake katika Maonesho ya Nanenane wanapata huduma bora, elimu ya kitaalamu na uelewa wa kina kuhusu kilimo cha kisasa.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Corteva Showcases Advanced Maize Seed Technology at Nan…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.