Mada zilizoorodheshwa
EDUCATION Jun 9, 2026 3 nukuu ยท 3 makala ยท 1 vyanzo

CAMFED's Role in Promoting Girls' Education and Women's Economic Empowerment

Vyanzo: bagamoyodc.go.tz

Maelezo na vyanzo

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Mkurugenzi wa CAMFED, Anna Sawaki, amesema kuwa mafunzo hayo yamelenga kuongeza na kukuza uelewa kwa Maafisa Habari kuhusu majukumu na mafanikio ya shirika hilo katika sekta ya elimu, Afya na kilimo.
bagamoyodc.go.tz โ†—
Maafisa Habari walioshiriki mafunzo hayo wamepongeza CAMFED kwa kazi kubwa wanayoifanya, ikiwemo kuhakikisha mtoto wa kike anapata haki yake ya msingi ya elimu pamoja na kuwawezesha wanawake kuinuka kiuchumi.
bagamoyodc.go.tz โ†—
Uliza chochote kuhusu mada hii โ€” mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.