Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuongeza riba ya benki kuu (CBR) hadi asilimia 6.25 katika robo ya tatu ya mwaka 2026 kwa lengo la kudhibiti mfumuko wa bei.
Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kimepanda hadi asilimia 6.25 katika robo ya tatu ya mwaka 2026, ikiwa ni kiwango cha juu kuwahi kurekodiwa tangu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ianze kutumia mfumo huo mpya katika kudhibiti mfumuko wa bei na kukuza uchumi nchini.
