Bandari Tanzania Promoted to Championship League After Finishing First in Group A
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Bandari Tanzania Promoted to Championship League After… · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- KOCHA mzoefu nchini Habib Kondo ametangazwa rasmi kuwa kuwa Kocha Mkuu wa Bandari Tanzania akitarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye Ligi ya Championship inayotarajiwa kuanza baadaye mwezi huu.
- Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imesema Kondo, aliyewahi kuzifundisha klabu nyingi za Ligi Kuu kama Mtibwa Sugar, Majimaji na KMC amepewa jukumu hilo mara baada ya timu hiyo kupanda ikitokea 'first league', akichukua.