7-Year-Old Student Killed in Road Accident in Mwanza
Habari mpya za transport Tanzania · maelezo ya 7-Year-Old Student Killed in Road Accident in Mwanza · imesasishwa 13 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Katika tukio jingine, mwanafunzi wa darasa la kwanza, Prosper Msafiri (7), wa Shule ya Msingi Wita, Kisesa, Magu, alifariki Agosti 12 baada ya kugongwa na lori aina ya Scania lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Bariadi.
- Taarifa hiyo ilieleza kuwa gari hilo la Seedco Tanzania Limited lililokuwa likiendeshwa na Mdamo Nyalwisila (40), mkazi wa Bariadi, lilimgonga Prosper wakati akivuka barabara kuu ya Mwanza–Musoma.