So far, more than 6,000 cooperative societies have been registered under the MUVU system, improving oversight while reducing revenue leakages.
WAKULIMA nchini wameanza kunufaika na uwazi katika biashara ya mazao baada ya zaidi ya vyama vya ushirika 6,000 kuunganishwa kwenye mfumo wa kidijitali unaowawezesha kufuatilia mauzo ya mazao yao, bei yaliyouzwa na kiwango cha fedha wanachostahili kulipwa.