Zanzibar Sugar Price Increase to Sh 3,500 Despite Government Price Control of Sh 3,000
Habari mpya za uchumi Tanzania · maelezo ya Zanzibar Sugar Price Increase to Sh 3,500 Despite Gover… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za uchumi · pato la taifa · uwekezaji
Muhtasari
- Licha ya Serikali ya Zanzibar kuweka bei elekezi ya Sh3,000 kwa kilo moja ya sukari, bidhaa hiyo imeendelea kuuzwa hadi Sh3,500 katika maeneo mbalimbali ya Unguja, huku baadhi ya wafanyabiashara wakisitisha biashara.
- Zanzibar huagiza zaidi ya asilimia 90 ya sukari kutoka nje, hasa India na Brazil.Hata hivyo, Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha bidhaa hiyo inapatikana, huku Kiwanda cha Sukari Mahonda kikiendelea na.