Waziri Ulega's Call for Technology Access for Farmers and Pastoralists
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Waziri Ulega's Call for Technology Access for Farmers a… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Ulega ameyasema hayo leo, Agosti 6, 2026, mkoani Morogoro alipokuwa akitembelea Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) ya Kanda ya Mashariki, yaliyowakutanisha wadau wa sekta za kilimo, mifugo, uvuvi pamoja na.
- Pia, Ulega amepongeza makampuni na vikundi vilivyoanzishwa na vijana pamoja na wanawake vilivyonufaika na mikopo ya asilimia 10, ambayo kwa sasa imeongezwa hadi asilimia 15.
- MOROGORO: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa wito kwa wadau wa Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi kuhakikisha kuwa maarifa, teknolojia na ubunifu unaooneshwa katika Maonesho ya Nanenane unawafikia wakulima na.
- Waziri Ulega amesisitiza kuwa pamoja na kuongeza uzalishaji wa chakula na bidhaa mbalimbali, ni muhimu kwa wataalamu kuhakikisha kuwa bidhaa hizo zinapata masoko ya uhakika na kuwafikia walaji kwa wakati.