Wateja Wanaahirisha Miradi Ya Ujenzi Kutokana Na Ongezeko La Bei Ya Simenti
Habari mpya za construction Tanzania · maelezo ya Wateja Wanaahirisha Miradi Ya Ujenzi Kutokana Na Ongeze… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Uchunguzi uliofanywa na waandishi wetu katika mikoa mbalimbali wiki iliyopita umebaini ongezeko la hadi Sh. 3,000 kwa mfuko mmoja.
- Katika baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa, bidhaa hiyo imeongezeka bei na kuuzwa hadi Sh. 26,000 kwa mfuko wa kilo 50 katika baadhi ya maeneo.Mkoani Tabora, uchunguzi wa waandishi wetu unaonyesha mfuko mmoja wa simenti ya.
- Kuna wakati mabosi hawakuniamini, lakini baadaye walielewa kutokana na hali ilivyo," alisema Humud.Mwananchi mwingine, Mwanaidi Rajabu, alisema simenti ilianza kupanda Aprili mwaka huu ambapo mfuko mmoja ulianza kuuzwa.
- Wateja wengi wamelalamika kwa sababu hali hii imeathiri miradi yao ya ujenzi," alisema Kimati.Bakari Humud, maarufu kama Bokalao, mkazi wa Kata ya Mabawa, alisema ongezeko la bei limewaathiri wanaojenga na wanaotumia.