Vijana wengi kuingia katika kilimo cha kahawa kutokana na bei nzuri
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Vijana wengi kuingia katika kilimo cha kahawa kutokana… · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Ameongeza kuwa kupanda kwa bei ya kahawa kila msimu kumevutia vijana wengi kuingia katika kilimo hicho, tofauti na ilivyokuwa awali ambapo kilimo hicho kilitawaliwa zaidi na wazee.