Ujenzi wa ofisi ya Takukuru Momba unagharimu Sh249.8 milioni
Habari mpya za public admin Tanzania · maelezo ya Ujenzi wa ofisi ya Takukuru Momba unagharimu Sh249.8 mi… · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Amesema jengo la ofisi ya Takukuru Momba lililogharimu Sh249.8 milioni, litasaidia kuboresha mazingira ya utendaji na kuongeza ufanisi katika utoaji huduma kwa wananchi.
- Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeanza kujenga nyumba za kisasa za makazi ya watumishi wake kwa mara ya kwanza nchini, huku nyumba sita zenye thamani ya Sh750 milioni zikikamilishwa katika Wilaya ya.