Ujenzi wa mabweni mawili ya shule ya sekondari Mtangani umegharimu zaidi ya Sh362 milioni
Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Ujenzi wa mabweni mawili ya shule ya sekondari Mtangani… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Amesema ujenzi wa mabweni hayo umegharimu zaidi ya Sh362 milioni, akieleza kuwa uwekezaji huo ni sehemu ya jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia ili kuwawezesha wanafunzi kupata elimu.