Uhamasishaji wa Wazazi Kunyonyesha Watoto kwa Miezi 6 Mfululizo
Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Uhamasishaji wa Wazazi Kunyonyesha Watoto kwa Miezi 6 M… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma
Muhtasari
- Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo katika kuadhimsiha Wiki ya Unyonyeshaji wa Maziwa ya Mama Duniani ambayo uzinduzi wake ulifanyika Agosti 3, 2026 katika Kituo cha Afya Amani, wakina mama walihimizwa kunyonyesha watoto.
- Juliet Malundo., aliwashukuru wataalamu wa afya, wazazi na wananchi wote waliojitokeza kushiriki maadhimisho hayo, alieleza kuwa ushiriki wao unaonesha dhamira ya pamoja katika kulinda afya ya watoto na kuimarisha.
- Walisisitiza kuwa watoto wanapaswa kunyonyeshwa maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya kwanza ya maisha ili kupata kinga dhidi ya magonjwa na kukuza afya bora.Naye mwakilishi wa Chama cha Unyonyeshaji Tanzania (TDNA).