Mada zilizoorodheshwa
BIASHARA 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Training Program to Address Barriers for Small Businesses in Tanzania

Habari mpya za biashara Tanzania · maelezo ya Training Program to Address Barriers for Small Business… · imesasishwa 11 Aug 2026 · habari za biashara · kampuni · uwekezaji

Muhtasari

  • Kati ya Mei na Julai 2026, programu iliwasajili, kuwafundisha na kuwapa ukocha wajasiriamali wote 261 kupitia kambi ya mafunzo ya darasani iliyofuatiwa na ukocha na ushauri wa ana kwa ana.”amesema Mollel.
  • Benki ya Stanbic imewahitimisha wajasiriamali 261 kutoka mikoa ya Arusha, Mbeya, Mwanza na Tanga chini ya Programu ya Biashara na Ajira Kijani, inayotekelezwa na Stanbic Biashara Incubator kwa ushirikiano na GIZ kupitia.
  • Hatukukusudia kuendesha programu kwa ajili ya kundi moja,bali tulikusudia kuwatafuta watu ambao tayari wanafanya biashara katika sekta za kijani, kisha kuwapa kile ambacho soko halikuwa likiwapa ambapo asilimia 76 ya.
  • Tulichoongeza ni mfumo: jinsi ya kupanga bei, jinsi ya kutunza kumbukumbu, na jinsi ya kuzungumza na benki ukaeleweka.” Mshauri na Kiongozi wa Timu ya Kiufundi wa programu ya WE4D ya GIZ, Julian Henseli, amesema muundo.
  • Mollel amesema kuwa,Programu ya Biashara na Ajira Kijani inaakisi dhamira ya Stanbic Bank Tanzania ya kujenga biashara zilizo tayari kupokea uwekezaji, zenye uimara wa kifedha na zilizojiweka katika nafasi ya kukua kwa.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Training Program to Address Barriers for Small Business…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.