Mada zilizoorodheshwa
KILIMO 2 nukuu · 2 makala · 1 vyanzo

TPHPA's Role in Opening New Markets for Tanzanian Agricultural Products

Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya TPHPA's Role in Opening New Markets for Tanzanian Agric… · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao

Muhtasari

  • Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imeeleza kuwa imefanikiwa kuokoa zaidi ya tani milioni 2.1 za chakula msimu uliopita na ekari zaidi ya 700,000 baada ya kudhibiti milipuko ya visumbufu vya mazao.
  • Amesema katika msimu uliopita, TPHPA ilidhibiti uvamizi wa ndege aina ya kwelea kwelea wapatao milioni 231 waliovamia skimu kubwa za mpunga, hususan maeneo ya Mbarali Mkoani Mbeya, Bariadi Mkoani Simiyu na Kilosa Mkoani.
  • Ndunguru.Aidha amesema kuwa kazi nyingine ambayo TPHPA inafanya ni kutunza nasaba za mimea kwa maana ya Mbegu za asili zote na mpaka sasa benki hiyo ya mbegu ina aina elfu kumi (10,000) zimetuzwa kutoka mikoa mbalimbali.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: TPHPA's Role in Opening New Markets for Tanzanian Agric…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.