TACAIDS' Participation in Nanenane Agricultural Show to Promote HIV Awareness
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya TACAIDS' Participation in Nanenane Agricultural Show to… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 7, 2026, katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi (Nanenane) yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dkt.
- Amesema ushiriki wa TACAIDS katika Maonesho ya Nanenane unalenga kuwafikia wananchi wengi zaidi kwa elimu kuhusu kinga dhidi ya Virusi vya UKIMWI, upimaji wa hiari na matumizi sahihi ya huduma zinazotolewa na Serikali.