Simba SC's Efforts to Retain Neo Maema for Another Season
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Simba SC's Efforts to Retain Neo Maema for Another Seas… · imesasishwa 7 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- Mashabiki wa Simba wanatarajia kumuona Maema akitambulishwa rasmi kesho, Jumamosi, Agosti 8, 2026, katika tamasha kubwa la kilele cha Simba Day litakolofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
- KIUNGO mshambuliaji raia wa Afrika Kusini, Neo Maema, ameonekana kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Simba SC tangu kumalizika kwa msimu uliopita, akitoa ishara ya wazi ya kuanza ukurasa mpya katika maandalizi ya msimu.
- Asubuhi ya leo, Maema ameonekana akishiriki kikamilifu mazoezi ya mwisho ya Wekundu wa Msimbazi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.